We were unable to load Disqus. If you are a moderator please see our troubleshooting guide.

kulwa • 7 years ago

Usilisahau hili ndugu mheshimiwa Mwenyekiti mpya wa CCM. Kuna mambo ambayo ni ya muhimu kuyafuatilia ili tupone.
1.KINA NANI a,bao wamekuwa WAKIFAIDIKA na mabillioni ya fedha zinayochangwa? Ni lazima watu fulani WAWAJIBIKE!!
2. Hizi mbio za mwenge wa uhuru kwa nini inakuwa ni mzigo kwa wananchi na watumishi wa serikali kuchangishwa tukodi twa kulipia mbio hizo?
Ikiwa ni lazima basi mbio ziwepo ni ni LAZIMA basi Kuwe na MFUMO na Mwelekeo MPYA kuhusu mbio hizo,
Maana wananchi na watumishi wa Serikali na umma WANAUMIA Mr Chairman
Wananchi watafurahi sana kukiwa na new TRANSFORMATION on mbio za mwenge.
Kuwe na BEFORE HAND BUDGET yake PASIPO kumsumbua RAIA wala MTUMISHI wa serikali kutoa fedha za mbio hizo.
Chama kikidhibiti mapato yake. KINAJITOSHELEZA na kupunguza mzigo kwa wananchi maana inakuwa ni KERO!!
3 Watumishi wengine wamepoteza AJIRA zao tokana na MWENGE. kweli hii ni haki katika Demokrasia ya vyama vingi?.
4 Je ni haki na ni lazima mtumishi wa serikali na umma na wananchi KUKESHA nje baridini kwa ajili ya MWENGE? as an IDOL WORSHIP?
5. Hili linahitaji HEKIMA kuu. Tulifikia pabaya. Kuwakusanyia watu fedha ili WAKAZILE.
Mwenyekiti wa CCM JPM think about that and God will help you!!
Wazungu wanamsemo.
"NEVER do the SAME THINGS in the SAME way EXPECTING NEW RESULTS"

kulwa • 7 years ago

Pia ndugu Mwenyekiti mpya wa chama cha CCM Rais JPM naomba uyaangalie UPYA mambo ya mbio za mwenge katika wakati huu wa multiparty democracy yaani Demokrasia ya VYAMA VINGI kama ni wa lazIma au la!!

Na kama ni wa LAZIMA basi kuwe na MABADILIKO KADHAA utakayo yafanya ili kuondoa maumivu na mateso kwa wananchi na watumishi wa umma na serikali walokuwa wakiwa subjected into! Kukatwa pesa na michango isiyo na tija!

1. Mambo ya kuwachangisha wananchi na wafanyakazi niliowataja michango ya mbio za mwenge je ni lazima? Maana ni ya CHAMA?

2. Kuna WATUMISHI wa Serikali na umma waliopoteza kazi kwa ajilI tu ya kukosea kidogo maandalizi ama whatever kutokana na mbio hizi. Kwel hiyo sio haki mtumishi afutwe kazi kwa sababu ya MBIO za Mwenge

3. Kulazimisha watu KUKESHA kwenye baridi katika jina la kusherehekea mbio za mwenge. tulizigeuza kama IDOL WORSHIP yaani {ibada ya Kamiungu kengine!!}

4. Kiafya Maambukizi mengi ya UKIMWI yamefanyika wakati wa sherehe hizo usiku je is it really WORTHY it?

5. Tafadhali ndugu Mwenyekiti Rais JPM chunguza HII MICHANGO YOTE ya Mbio za Mwenge ILIKUWA INAENDAGA kwenye MIFUKO ya akina nani baada ya mbio hizi?.
Maaana kama ulivyosema unatengeneza Tanzania mpya

Tafadhali basi tengeneza HAPA kuna jambo! tena si JAMBO DOGO!!!

6. iKIWA ni lazima BASI mbio hizi zifanyike BASI kuwe na BAJETI YAKE RASMI kutoka makao makuu ya CCM NA mtindo mpya usiowabuguthi Wananchi na WATUMISHI waserikali na Umma katika kulazimisha watoe hela.
Hizi ndizo baadhi ya KERO zilizo zorotesha chama na WANANCHI WAKAWA WAMECHOKA na CCM.

Lakini kwa kuingia kwako. Umekipa chama oxygen mpya na mwanzo mpya. Utakao wafanya wengi wajiandikishe kuwa ni wanachama wa CCM.

BUT we have to change the status quo!!
kama tunataka mabadliko ya kweli ya TAKAYOWAVUTIA WANACHI WENGI KUJIUNGA NA CHAMa
7. Watakoa bainika WALIKUWA WANAKULA FEDHA ZA MWENGE WARUDISHE NA WASHITAKIWE!!